FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Simba tukiwaambia hamna timu muwe mnatuelewa sio kwamba tunawaonea,kile ni kituo cha kulea wazee na sio klabu ya mpira.

Uzi tayari.
 
Nimeanza kuamini simba ndio timu pekee Tanzania isiyotumia uchawi, mechi za kimataifa ambazo hakuna Uchawi wanacheza vizuri na wanapata matokeo kulingana na walivyocheza ila mechi za ndani hata hauelewi inakuwakuwaje, yaani ni mauzauza tu haiwezekani timu iweze kuifunga wydad halafu ishindwe kuifunga prisons shida siyo kikosi lazima tu kuna namna hapa
Pole Mtani wangu.

Mje tuwape yale majini yetu sasa. 😂😂
 
Chama Cha mapinduzi Leo kipo uwanjani kweli? Tunaposemaga ni mchezaji wa mechi dhaifu dhaifu uwa tunapingwa vipi Leo kiwango Cha kwenye mechi ya jwaneng kimepotelea wapi?
 
Back
Top Bottom