Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Dakika ya 86 Mkuu.Jamani dakika ya ngapi huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika ya 86 Mkuu.Jamani dakika ya ngapi huko
😂🤣😁😂😂Si tumekubaliana chama fundiiii sana
Timu ndogo Huwa zinaikamia Simba
Ndivyo mlivyofundishwa shuleniHapa itaishia 2 Prisons 3 Simba. Subiri tu.
88Jamani dakika ya ngapi huko
Tangu dakika ya kwanzaNaombeni sana mniambie, Chama yupo uwanjani?
Naunga mkono hojaHuyo Fundi maiko ,Chama anaonekana anajua akikutana na magarasa...Lakini akicheza na timu nzuri haonekani kabisa.
😂😂😂 Mkuu unamaanisha sisi au wale wazee wa porojo?Mbona Hamsemi Ndugu Zangu
Walitumia kigezo gani kuchagua huu uwanja?
Kuna muda najiuliza ilikuaje tukawaacha wakina baleke waliozoea ligi alafu tukasajili hawa kina fred.tena katikati ya msimu.Uku tukijua viwanja vyetu vyenyewe ni changamoto hadi wageni wavizoee.Akili za hawa viongozi na benchi la ufundi ni changamoto nyingine kwenye simba.Hadi sasa ni CHAMA pekee amefanya attempt za maana..
Ndo ujue simba ni BLIND ktk usajili
YupoNaombeni sana mniambie, Chama yupo uwanjani?