FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Simba ikicheza cheza beti, Mpe Simba ushindi. Akishinda umekula HELA, akifungwa UNASHANGILIA. Ngoma droo
 
Wakati Yanga ana viporo hizi timu ziliambiwa ziscreenshot msimamo zikiwa kileleni zikaleta ubishi. Haya sasa viporo vimeanza kuchacha.
 
Simba kujiona wameshinda mechi hata za ligi baada ya kushinda 6,matokeo yake ndo haya
 
Back
Top Bottom