FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Daah mimi kolo ntauweka wapi uso wangu leo?
 
Hii ngoma bado mbichi sana.
Simba tutachomoa hizo goli na kuongeza. Kikubwa Chama aendelee kuwepo uwanjani.

Simba nguvu moja.
 
Hadi sasa ni CHAMA pekee amefanya attempt za maana..
Ndo ujue simba ni BLIND ktk usajili
Kuna muda najiuliza ilikuaje tukawaacha wakina baleke waliozoea ligi alafu tukasajili hawa kina fred.tena katikati ya msimu.Uku tukijua viwanja vyetu vyenyewe ni changamoto hadi wageni wavizoee.Akili za hawa viongozi na benchi la ufundi ni changamoto nyingine kwenye simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…