FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Dooh kwani mtani hiyo timu isiyo dhaifu imefuzu makundi ya klabu bingwa mara ngapi kulinganisha na ile tuliyoifunga sita
 
Jwaneng ni wazuri kuliko Simba sema Simba wanamamboyao ya kipuuzi ndiyo yanayo wapa ushindi.
ukiweza kuwadhibiti wasiyafanye unawafunga vizuri tu.
Yamekuwa hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…