FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Chama akihojiwa baada ya mechi ya leo
tapatalk_-311572841_720x628.jpg
 
Chama chama chama [emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji23] nyinyi Kubalini kuwa mnakuwa Bora mkicheza na timu dhaifu nyinyi ni wabovu sana [emoji16][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2926272
Dooh kwani mtani hiyo timu isiyo dhaifu imefuzu makundi ya klabu bingwa mara ngapi kulinganisha na ile tuliyoifunga sita
 
Jwaneng ni wazuri kuliko Simba sema Simba wanamamboyao ya kipuuzi ndiyo yanayo wapa ushindi.
ukiweza kuwadhibiti wasiyafanye unawafunga vizuri tu.
Yamekuwa hayo
 
Back
Top Bottom