FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Wachezaji wa mpira kama wanabeti wapigwe marufuku usikute wameshauriana waweke gg Hawa makolo
 
Kama unajua mpira huwezi kuacha kuona kosa la golikipa.
Sehemu ya kutokea yeye kasimama, na sehemu ya kubana angle yeye katoka.
Naongezea hapo ...labda Mimi sijui Mpira ila ......... yule jamaa alifanya touch ipo mbali kabisa na lilikua eneo ambalo goalkeeper angewahi kabisa ule Mpira (na naamini kabisa alijilaumu kwa kufanya touch mbovu ila akaona shati limeganda tu golini akajipa hope na upya na akaupata ule mpira) ......goal la hovyo sana kwa goalkeeper wa hadhi ya Timu ya taifa ......🚮🚮😠
 
Back
Top Bottom