FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Bila uchawi wale Jwaneng wasingefungwa 6, hii ndo simba sasa.
 
Prison Tangu Mwanzo wa mchezo wali ingia na plan hii ya counter attack, zimegoma kadhaa Moja imelipa.

Kwakua walisha fahamu upande wa kapombe anasogea Sana juu na namba sita wake anasogea juu kwaiyo lile eneo ni huru, liko wazi wanalitumia kushambulia.

Kwaiyo sio goli la kubahatisha ni mpango kamili wa kocha umetiki.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£
 
Nalitafuta kosa la Manula silioni.
Alitakiwa kutoka mapema sana baada ya ile ndefu ya pili ili akutane nao uku akiwa kapunguza goli.kwakua jamaa alikua na speed asingeweza kuchenga au kuchop mpira sana sana kungekua na foul au angeugusa mpira ungeenda nje maana jamaa alikua pembeni ya goli.sasa yeye alisita kutoka akitegemea beki angewai kufanya tackle.
 
Nawakumbusha tu game ya mzunguko wa Kwanza walitangulia Hawa Prisons kwa goli la mapema kabisa.

Ila mwisho wa game walikula 3 hawa.
Leo watakula 5.
 
Bangula Yuko Vizuri Yanga watamuwahi.
Fredi ni Zero kabisa.
Toa Fredi na Kibu weka Jobe na Chasambi.
Toa Manua weka Mwarabu.
 
Kwanini huyu kocha hajapanga kikosi chetu kilichomfunga galaxy 6.

Kocha kaniuzi sana
 
Back
Top Bottom