FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Mods tutafutieni namba za simu za wachezaji wa Prisons ili game ikiisha tuwatumie miamala ya kuwapa motisha.
 
Nawakumbusha tu game ya mzunguko wa Kwanza walitangulia Hawa Prisons kwa goli la mapema kabisa.

Ila mwisho wa game walikula 3 hawa.
Leo watakula 5.
Nipigwe ban Maisha yangu yote mkiifunga Prison 5 we unadhani Prison hii ni mdebwedo hawa wako smart...
Baada ya Yanga timu inayocheza soka Safi Kwa sasa ligi kuu n Prison na hizo butua butua zenu Leo mtalowa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
NAONA UZI UMEFUFUKA, MLIKUWA WAPI WANDEWA?
 
Nipigwe ban Maisha yangu yote mkiifunga Prison 5 we unadhani Prison hii ni mdebwedo hawa wako smart...
Baada ya Yanga timu inayocheza soka Safi Kwa sasa ligi kuu n Prison na hizo butua butua zenu Leo mtalowa [emoji23][emoji23][emoji23]
Well Noted 😃
 
Ukiachana na mapenzi, hakuna raha nyingine nnayopata kama kuona Simba akipata matokeo mabaya.
 
UKICHAA NI NINI? UKICHAA NI KUAMINI PRISON WANAEZA KUSHIKILIA BOMBA
 
Ila JAMANI KIBU tunaenda naye tu hivyo hivyo..
Huyu mtu anaweza kutumika tu kama SUB pale ambapo mpinzani ameshatoka...lakini kumtegemea kama 11 eleven huyu mchazaji hana akili sana za kimpira
 
Back
Top Bottom