FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Kikosi cha Mauaji!
20240306_151441.jpg
 
Squad imeshiba kabisa hii
 
Sijui kwanini kocha anapenda Kuanzisha viungo watatu wenye asili ya ukabaji
Hata sikuelewi. Babacar na Fabrice huwa wana panda na kufunga magoli. Hata Mzamiru huwa anashiriki kwenye mashambulizi.

Leo simuoni Kanute lakini naye hivyo hivyo na keshafunga magoli.

Unaiongelea Simba au Prison?
 
Prisons tunahitaji matokeo game ya leo.
 
Back
Top Bottom