Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba wamechanganyiwa lugha kama alivyofanya Mwenyezi kwa wajenzi wa ukuta wa BabeliManula: Oya mwanangu una uhakika yule ni Pacome kweli au ni Lion Messi?
Zimbwe: ni Pacome yule sema wachezaji wa Yanga wapo zaidi ya 11 uwanjani
Pole sana Mtani. Utapoa. πNipo mtani naugulia maumivu hapa
Haina shida Shem. π€Yaani jana nilifurahi kupitiliza nikaona ngoja nijipe raha na Wananchi wenzangu.
πHivi Jana ilikua tarehe ngapi???????
Mlimwaga majini ya kutosha pale kwa Mkapa nasikia....π€£π€£π€£π€£ Safi kabisa ligi bado sana hapana kukata tamaa ila backline yenu sio kati wala pembeni kote kuna vuja tuu.
Alafu itakuwa yule mganga wenu wa mechi ya al ahly hamkumlipa
Achen maneno...nyie bwana mna gunia kule nyuma sio katikati sio pembeni...watu wanajipitia tuuMlimwaga majini ya kutosha pale kwa Mkapa nasikia....
Tafuten clip ya Manara wenu ndo utajua Derby ni ushirikina...
Chezea majini ww hujui hata yanapitia wapi π€£ π€£ π€£Achen maneno...nyie bwana mna gunia kule nyuma sio katikati sio pembeni...watu wanajipitia tuu
Weka ukuta sawa wewe wacha tantalilaChezea majini ww hujui hata yanapitia wapi π€£ π€£ π€£
Kama mpira ni uchawi basi turoge TAIFA Stars waondoke na AFCON.Mlimwaga majini ya kutosha pale kwa Mkapa nasikia....
Tafuten clip ya Manara wenu ndo utajua Derby ni ushirikina...
ποΈποΈποΈποΈποΈποΈπ€ π€π
GENTAMYCINE, The Popoma, come and see this with your naked eyes. Na huu utabiri niliutoa kabla hata ya mchezo kuanza. Yaani saa 12 na dakika 18 asubuhi siku ya Jumapili!!!Utabiri wangu: Leo simba tutafungwa goli za kutosha. Na baada tu ya kufungwa, uongozi wa klabu utamtimua kocha Robertinho.
Unaugulia maumivu ukiwa wapi? ππ€£Simba 2-0 Utopolo.
Yule yule Mkandaji, Kibu D
Umetisha sana mkuu, Chukua maua yako!Utabiri wangu: Leo simba tutafungwa goli za kutosha. Na baada tu ya kufungwa, uongozi wa klabu utamtimua kocha Robertinho.
Hongera mkuuGENTAMYCINE, The Popoma, come and see this with your naked eyes. Na huu utabiri niliutoa kabla hata ya mchezo kuanza. Yaani saa 12 na dakika 18 asubuhi siku ya Jumapili!!!
Halafu unajisifia eti wewe ni Jenta the king!!! Nyambafu
ππππͺβππΉπ·Umetisha sana mkuu, Chukua maua yako!