FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Manula: Oya mwanangu una uhakika yule ni Pacome kweli au ni Lion Messi?
Zimbwe: ni Pacome yule sema wachezaji wa Yanga wapo zaidi ya 11 uwanjani
[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba wamechanganyiwa lugha kama alivyofanya Mwenyezi kwa wajenzi wa ukuta wa Babeli
 
🤣🤣🤣🤣 Safi kabisa ligi bado sana hapana kukata tamaa ila backline yenu sio kati wala pembeni kote kuna vuja tuu.
Alafu itakuwa yule mganga wenu wa mechi ya al ahly hamkumlipa
Mlimwaga majini ya kutosha pale kwa Mkapa nasikia....
Tafuten clip ya Manara wenu ndo utajua Derby ni ushirikina...
 
Mlimwaga majini ya kutosha pale kwa Mkapa nasikia....
Tafuten clip ya Manara wenu ndo utajua Derby ni ushirikina...
Achen maneno...nyie bwana mna gunia kule nyuma sio katikati sio pembeni...watu wanajipitia tuu
 
IMG_6590.jpg



Ila Yanga Mungu anawaona [emoji16][emoji16] mblaziri kahusikaje?
 
Utabiri wangu: Leo simba tutafungwa goli za kutosha. Na baada tu ya kufungwa, uongozi wa klabu utamtimua kocha Robertinho.
GENTAMYCINE, The Popoma, come and see this with your naked eyes. Na huu utabiri niliutoa kabla hata ya mchezo kuanza. Yaani saa 12 na dakika 18 asubuhi siku ya Jumapili!!!

Halafu unajisifia eti wewe ni Jenta the king!!! Nyambafu
 
Back
Top Bottom