Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Bila shaka huyu ni weweTabulele raaaaaah! 5G
hii siku shemeji yenu alifaidi sana [emoji2960][emoji23]
majibu yawe mafupiBila shaka huyu ni weweView attachment 2913722
Ulimpa yote?Tabulele raaaaaah! 5G
hii siku shemeji yenu alifaidi sana [emoji2960][emoji23]
Waliingia kwenye mfumo.Ila Hawa Jamaa Hadi Tunawapiga Vitano Sijui Walikuwa Wanafanya Nini Uwanjani
Na kwa jinsi inaonekana ni kweli alifaidi. Mpaka ile ya msomali kafia kwenye Fiat alipewaTabulele raaaaaah! 5G
hii siku shemeji yenu alifaidi sana [emoji2960][emoji23]
Si kwa ubaya mkuu. Tunajikumbusha siku ambayo ilikua ni furaha kwa nusu ya wa TZ.[emoji16] ila binadam mmeamua kufukua hili kaburi? nani huyu kaamua kuweka chumvi kwenye jeraha ambalo halijakauka?
Simba iliingia kwenye 18 za wenyewe [emoji16][emoji113]
[emoji23][emoji23] ni gani hioNa kwa jinsi inaonekana ni kweli alifaidi. Mpaka ile ya msomali kafia kwenye Fiat alipewa
Utabiri ukatimia πUtabiri wangu: Leo simba tutafungwa goli za kutosha. Na baada tu ya kufungwa, uongozi wa klabu utamtimua kocha Robertinho.
Tufanye 5 basi πYaani uto amfunge simba tatu? ππ
Vipi nyie mlifika? πUpotolo mlizani mmefika kumbe ndio kwanza
π€£π€£π€£
π€£π€£π€£Utopolooooooooooooooo huuu sasa ndo utopoloooooooooo
Coment iliyokuwa imejaa maumivu makali mnoHata mfunge 10 mtapata point 3 tu
Huyu mtabiri anakitu awekewe ulinziUtabiri ukatimia π
Una kituYanga 5
Tatu malogo 0
Bado kidogoUna kitu
Wameongezeka 4 π1. Yanga 5 - 0 Djibout
Djibout wabovu.
2.Yanga 5 - 0 KMC
KMC mbovu
3. Yanga 5 - 0 JKT
JKT mbovu
4. Yanga 5 - 1 Simba
Simba ni.....π€ͺ