Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Na ufufuke kweli kweliNimeamua tu kuufufua uzi
Kwani hii ndio kiamaπ€Na ufufuke kweli kweli
Tulia wewe kiama ni twenty twentyKwani hii ndio kiamaπ€
Aaaaaaah apa unanipanga ishapitaππTulia wewe kiama ni twenty twenty
5 fc ππKila la kheri SIMBA SC.
FT: SIMBA SC 2 VS 0 WATOTO WA LUC EYMAEL.
Kumbe ndio matatizo yanazidiKwa hiyo wanetu baada ya kibu kusawazisha wakajua wametoboa πππ
Yaani walivyoshangilia lile goli moja la kusawazisha unaweza sema wako serious kwamba kingefuatia mpira mkubwaπKumbe ndio matatizo yanazidi
π€£π€£π€£Inasemekana huyu kijana hajaamka mpaka sasa πView attachment 3028890
Wakapigwa 5 π€£πYaani walivyoshangilia lile goli moja la kusawazisha unaweza sema wako serious kwamba kingefuatia mpira mkubwaπ
π€£π€£πππInasemekana huyu kijana hajaamka mpaka sasa πView attachment 3028890
Mpemba nae akashindwa kujifunza kwenye fainali ya federationKijana akatufunga mdomo kabisaπππ
Unacheza na Yanga unabahatika kufunga alafu unamuonyesha dharau kumfungisha mdomo! Unategemea nini, kilichofuata Madogo wanajua, watawasimulia wenzao πππMpemba nae akashindwa kujifunza kwenye fainali ya federation