financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Namshtukiza na ngumi heavy then nakimbiaa😀😀Huezi , atakudundaaa ohoo🤣🤣
HahaaaaaRefa maliza mpira mi nakaa mbali
So far Yanga wametu-outplay midfiled
Wanazi wanadai eti hilo sio muhimu kwenye uchezaji wa Simba ya Robertinho msimu huu.Simba hakuna wa kukaba
VAR pale tunaweka.VAR ni yamuhimu sana
Ile unakimbia tu, nakudaka 😀😀😅🤣Namshtukiza na ngumi heavy then nakimbiaa😀😀
Wanathimbaaa😀Shindwaaa