Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mechi nne zijazo hachezi maana sio kwa moto huu anao pelekewaManula anatusevu hapa
Lomalisa kachokaHii mechi inamuhitaji Kibwana Shomari katika ulinzi. Lomalisa sio Mkabaji mzuri Kibu Denis atasumbua kule nyuma
Inawezekana maana Simba kwa ndumba hawajamboHuyu Kibu ndio mmempa hirizi nini leo maana si kwa kuupiga huku.
Kwa Leo nakubali ni underdog . Wanapoteza mpira kifala kama vile ni daraja la Kwanza. Ila underdog pia ushinda.hata hivyo ni underdog timu haifikishi hata pasi tano
Leo wanakaba kwa Kuzuia mianya ya pasi, na hiyo ndio aina yao ya ukabaji wao sikuhizi. Hawafanyi pressing mara nyingi.Simba hakuna wa kukaba
Manula bado hayupo fitihuyu mechi nne zijazo hachezi maana sio kwa moto huu anao pelekewa
Nilishakaa chini, Lomalisa anataka kuniua kwa pressure.Doh!!
Rangi za shetani na mawakala zake simba!
Kwahyo ndio maana wanakuwa wanatawaliwa sana?!Leo wanakaba kwa Kuzuia mianya ya pasi, na hiyo ndio aina yao ya ukabaji wao sikuhizi. Hawafanyi pressing mara nyingi.
Kumuweka Kibwana ni kupunguza mashambulizi, sidhani kama kocha anafikiria kujilinda zaidi.Hii mechi inamuhitaji Kibwana Shomari katika ulinzi. Lomalisa sio Mkabaji mzuri Kibu Denis atasumbua kule nyuma