Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
sio rede iyo, hao nyau wanajidekeza dekeza tuUto wanacheza rafu sana.
Yaniii!!Nilishakaa chini, Lomalisa anataka kuniua.
Pole sanaAll the Best Yanga
Wachezaji wa Simba hawapaswi kuguswa uwanjani ila wachezaji wa Yanga hata ukiwakamata miguu sawa kabisa
hapo kuna faulo gani, mtu kajiangusha una weka faulo upumbavu mtupu
Yanga wanapiga sana viatu
Duh vina meno kabisaa duh
Pole sanaOnly 0-1 kamoja tu kanawatosha
Lazima ingekuwa tutaVAR pale tunaweka.
ππ haya banaIle unakimbia tu, nakudaka πππ π€£
shomary aliye shika mguu ila ikawa faulo kwa yanga tenaHawa yanga mbona wanamuacha shomali hivi! Jamani