KabisaHatuna kocha sisi, kila siku tunalalama, wengine wanasema mpira matokeo, ni pira bovu tunacheza pira papatu papatu.
Kama wana maelekezo hata ikija watafunika tuVAR inabidi iletwe Bongo, japo ni gharama
SahihiHili sina hakika, Ila tukio lile nadhani refa alijiweka nafasi isiyo sahihi ya uoni(point of view).
Tuendelee ku'enjoy pira Objective Kiongosi[emoji1787]Nje ya mada. We ndio huyo kwenye profile picture yako?[emoji14][emoji12][emoji3059][emoji7][emoji2956]
Mechi ya mwanzo mwa ligi msimu uliopita Simba Vs Yanga Aziz Ki alifanya nini Mkuu?Yanga rahisi kufungwa mipira iliyokufa ila wao kuitumia mipira hiyo kupata matokeo huwa hawawezi.
Pole sanaUto mmeanza kuweweseka!! Subirini Kibu mgeni rasmi awakande vizuri!! Saizi yenu ni Ihefu!!
Anayo badge ya FIFA ila mmmhNdiyo maana marefa wetu wanaishia kucheza hapa hapa Sasa ni ujinga gani Arajiga anafanya.
Hivi ana beji ya FIFA?
Au naye ni wa mchangani?
Yanga hawajatawala kihivyo!! Ball possession ni 49%(Simba) 51%(Yanga). Hiyo tofauti ya 2% kati yao huwezi kuiona kwa macho ila kwenye takwimu tu!!Game moja moja.
Musonda, kwa upande wa Yanga
Kibu D kwa upande wa Simba.
Ila Yanga ametawala mchezo.
Sijui kwa niniMbona Kayoko wanambania sana?