FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FB_IMG_1699171775072.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachofanya Yanga iwe na goli moja paka sasa ni kukosa a top CF, kosa kubwa allilofanya Hersi msimu huu ni kutosajili Striker wa maana baada ya kumuuza Fiston, na asiposajili January hii basi msimu mzuri utakuwa umeharibika.
 
Game moja moja.
Musonda, kwa upande wa Yanga
Kibu D kwa upande wa Simba.

Ila Yanga ametawala mchezo.
Yanga hawajatawala kihivyo!! Ball possession ni 49%(Simba) 51%(Yanga). Hiyo tofauti ya 2% kati yao huwezi kuiona kwa macho ila kwenye takwimu tu!!
 
Back
Top Bottom