FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Kwakuwa mna mchezaji wa 12 uwanjani 'Arajiga' lazima useme hivi, mpaka sasa yeye ndio nyota wa mchezo.
Kaupiga mwingi kwelikweli, hongereni b...
Kama sio refa mnadhani Yanga mngekuwa na yellow ngapi hadi sasa? Refa yuko kwenu sana b...

Ova
 
kwamba mtu akitaka kutua unashika mguu ama unasukuma asikutulie juu ya mwili

yeye kashika wakat mchezaji wa yanga anataka kumruka ko utetezi wako hauna maana
mkuu kijiji kilichokuwa pale ulikiona vizuli ..na yule aliyeruka sijui angetua wapi kama sio either kwenye tumbo au mbupu za mwenzake ..
 
Kinachofanya Yanga iwe na goli moja paka sasa ni kukosa a top CF, kosa kubwa allilofanya Hersi msimu huu ni kutosajili Striker wa maana baada ya kumuuza Fiston, na asiposajili January hii basi msimu mzuri utakuwa umeharibika.
CF kuwapata sio rahisi hivyo,dunia nzima wanasakwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…