Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Alifanyaje? SikumbukiMechi ya mwanzo mwa ligi msimu uliopita Simba Vs Yanga Aziz Ki alifanya nini Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifanyaje? SikumbukiMechi ya mwanzo mwa ligi msimu uliopita Simba Vs Yanga Aziz Ki alifanya nini Mkuu?
Soon anakuja boccoKwanini Baleke Karudi?
Kama sio refa mnadhani Yanga mngekuwa na yellow ngapi hadi sasa? Refa yuko kwenu sana b...Kwakuwa mna mchezaji wa 12 uwanjani 'Arajiga' lazima useme hivi, mpaka sasa yeye ndio nyota wa mchezo.
Kaupiga mwingi kwelikweli, hongereni b...
mkuu kijiji kilichokuwa pale ulikiona vizuli ..na yule aliyeruka sijui angetua wapi kama sio either kwenye tumbo au mbupu za mwenzake ..kwamba mtu akitaka kutua unashika mguu ama unasukuma asikutulie juu ya mwili
yeye kashika wakat mchezaji wa yanga anataka kumruka ko utetezi wako hauna maana
Yellow card na penalt kipi zaidi b...? C'monKama sio refa mnadhani Yanga mngekuwa na yellow ngapi hadi sasa? Refa yuko kwenu sana b...
Ova
Wanacheza rafu ila refa akiweka faulo wanalalamika..!Yanga punguzeni viatu
Wallah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Soon anakuja bocco
CF kuwapata sio rahisi hivyo,dunia nzima wanasakwaKinachofanya Yanga iwe na goli moja paka sasa ni kukosa a top CF, kosa kubwa allilofanya Hersi msimu huu ni kutosajili Striker wa maana baada ya kumuuza Fiston, na asiposajili January hii basi msimu mzuri utakuwa umeharibika.
Ulitaka asirudi?Kwanini Baleke Karudi?