Hata kama ni mpira, hii imezidi bhana....huku ni kutiana aibu tuu.Ndio mpira lakini
Mnaweza kupigwa kwa hasira mechi mbovu au msipewe kabisa😂😂😂😂Vipi sisi wanawake wenye mababe Makolo?
AahaaaaaaIle mishumaa 4 ndiyo yalikuwa magoli ya Yanga. Na kile kiuchawi cha kati ndio kagoli kenu kamoja. Habari mnayo ....
Kumbe hawajui mvua ikinyesha Simba hua anazaaOoooh hatujawahi kufungwa Jumapili, oooh mvua ikinyesha tu tunashinda.
Yako wapiiiiiiiii? 4-1