David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Walitutesa sana na ile reference yao waliyotufunga 1-4✋
Hatimaye historia imeandikwa!! 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walitutesa sana na ile reference yao waliyotufunga 1-4✋
Hatimaye historia imeandikwa!! 😁
Mimi nazikwaaaaaaaaaaaaNakufaaaa nakufaaa kwa raha huku yanga nomaaaaa
Najitoa JF wakirudishaKomboeni sasa kama ni rahisi. [emoji23][emoji23]
Leo naomba uwahi kurudi nyumbani😂😂😂😂Kazi iendeleee..
Ndio ndio tuvae odo tuvae wiki nziiima tunavaa jezi. 🤣🤣Wiki nzima hii navaa jeziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Damn!Kipigo kitakatifuuu. 😂😂😂
WW usinifatilie....usitake niandike yanayokufurahisha....hivi una akili kweli?.umeshinda halafu unakwazika na coment yangu...Kumbe wewe akili zako sio stable,kuanzia leo sitakuweka maanani.
Hahaa kwenye Masihara ya Rikiboy yale? Aah huko hapanaLeo mrembo wa Yanga anaweza kuingia majaribuni kimasihara kwa furaha hii😂😂😂
🤸🤸🤸🤸🤸🤸💪💛💛💛💛Mimi nazikwaaaaaaaaaaaa
Wataweka heshima sasa kwa baba yaoTulivyomfunga KMC na JKT goli 5 kelele zilikuwa kama zote haya sasa leo nini hiki. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]