Tuliaaa!!!
Hhahhahahja nasubiri nyuzi zake za kumtaka aondoke [emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tukisema Roberthino ni kocha mbovu anatetewa... Haya sasa panapovuja pameonekana Mgunda achukue timu
Wiki lote hili kila kona tred zote zilikuwa zao. Kila muda walikuwa wanafungua tred uoga na kujipa matumaini.Ooooh hatujawahi kufungwa Jumapili, oooh mvua ikinyesha tu tunashinda.
Yako wapiiiiiiiii? 4-1
Manula sio wa kulaumiwa leo, team nzima inahusika kwenye haya matokeo.Mchezaji hajacheza yangu msimu umeanza unategemea akupe matokeo leo-manula
Anatoka chuma anaingia mbao unategemea nn- muquson
Kwaheri robentinho nakutakia maisha mema huko uendako
ObjectivesTukisema Roberthino ni kocha mbovu anatetewa... Haya sasa panapovuja pameonekana Mgunda achukue timu