πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji1665]
umeshuhudia mangapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kitu ambacho Simba Sc imekuwa vizuri sikuhizi ni kutumia mipira iliyokufa, nina uhakika kama Yanga ataruhusu kona na faulo nyingi eneo hatarishi katika kipindi cha pili lazima tushudie goli.
Dah Hadi wewe umekuja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]Hahaa kwenye Masihara ya Rikiboy yale? Aah huko hapana
Kwani hapo hujavaaNdio ndio tuvae odo tuvae wiki nziiima tunavaa jezi. π€£π€£
Ile 5G iliyopotea muda mrefu hatimae Leo imerejeaβ
Hatimaye historia imeandikwa!! π
Leo watanyolewa sana mtaani nakwambiaπππHahaa kwenye Masihara ya Rikiboy yale? Aah huko hapana
Hamsa hizoNasikia makelele banda umiza...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Leo nalala na jezi naamka na jezi, daaaadek.
Wanatafutanaaa π€£π€£π€£π€£ bwahahahahahahahahah πͺππKiko wapi
Hawaamini macho Yao...