Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
5 mkuu zimeingia..Kilichotokea ni kwamba Manula hakuwa na match fitness. Hiyo ilisababisha afungwe mapema!! Lakini muda huu atakuwa amesha-gain match fitness, wasitegemee kumfunga goli tena!! Tunashukuru mgeni rasmi alijibu mapigo faster!!
Jamani; nimekuta kijana wangu hapa analia hadi huruma; anamlalamikia kocha kumruhusu Manula adake leoUnamuhamzisha manula yupo out for 1y hana hata game moja ya majaribio what fvckng coach[emoji706]
Pole mtani,mganga wenu siku hizi ameishiwa nguvuMoyo unavuja dam sisi kweli wa kupigwa tano na wakalia mwiko
Mpaka sasa hivi nimechuniwa! πππMnaweza kupigwa kwa hasira mechi mbovu au msipewe kabisaππππ
Yanga 5-1 SimbaImplication ni kwamba Yanga wangecheza na Waarabu wangetolewa kikavu
Ni Kweli mkuuMiq anachukua nafasi ya Kibu Mkandaji Mkandamizaji
Tulitegemea hiliUnamuhamzisha manula yupo out for 1y hana hata game moja ya majaribio what fvckng coach[emoji706]
Jamani; nimekuta kijana wangu hapa analia hadi huruma; anamlalamikia kocha kumruhusu Manula adake leo
Sent using Jamii Forums mobile app
π π πRasmi sishabikii tena lig ya bongo mpaka chama na saido ,kapombe,tshabala waondoke simba
Am cry
Naunga mkono hojaYao ya kitambo, yetu mpya kabisa ni marufuku kutumia ile outdated wakati updated ipo
Upo kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NACHEKAA [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] KWA MAUMIVU MAZITO.....[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]