Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
5 nying san 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5 mkuu zimeingia..Kilichotokea ni kwamba Manula hakuwa na match fitness. Hiyo ilisababisha afungwe mapema!! Lakini muda huu atakuwa amesha-gain match fitness, wasitegemee kumfunga goli tena!! Tunashukuru mgeni rasmi alijibu mapigo faster!!
Jamani; nimekuta kijana wangu hapa analia hadi huruma; anamlalamikia kocha kumruhusu Manula adake leoUnamuhamzisha manula yupo out for 1y hana hata game moja ya majaribio what fvckng coach[emoji706]
Pole mtani,mganga wenu siku hizi ameishiwa nguvuMoyo unavuja dam sisi kweli wa kupigwa tano na wakalia mwiko
Mpaka sasa hivi nimechuniwa! ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜Mnaweza kupigwa kwa hasira mechi mbovu au msipewe kabisa😂😂😂😂
Yanga 5-1 SimbaImplication ni kwamba Yanga wangecheza na Waarabu wangetolewa kikavu
Ni Kweli mkuuMiq anachukua nafasi ya Kibu Mkandaji Mkandamizaji
Tulitegemea hiliUnamuhamzisha manula yupo out for 1y hana hata game moja ya majaribio what fvckng coach[emoji706]
Jamani; nimekuta kijana wangu hapa analia hadi huruma; anamlalamikia kocha kumruhusu Manula adake leo
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅Rasmi sishabikii tena lig ya bongo mpaka chama na saido ,kapombe,tshabala waondoke simba
Am cry
Naunga mkono hojaYao ya kitambo, yetu mpya kabisa ni marufuku kutumia ile outdated wakati updated ipo
Upo kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NACHEKAA [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] KWA MAUMIVU MAZITO.....[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]