FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Sio mwezi tu. Labda January tusajili wachezaji muhimu wa maana tuwakande za kutosha ndo kutatulia. Sasa hiv ukiongea kidogo unaambiwa 5G.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijui wenzetu Al Ahly huko wakipata hizi taarifa watatuonaje?

Tumefanya mzaha mzaha mpaka mwisho wa siku tumejikuta tumeng'atwa na samaki aliye rostiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh, kweli we mbishi
 
Tunaumiaaaaa
Km Mimi nimeumia saaaana
Nimelia uvunguni leo sauti isisikike nje
Kweli Simba msimu huu wa kutulaza na viatu sisi?
Tumeloa uwanjani
Tumepigwa goli 5 kibabe na wanaume wa Yanga
😭😭😭😭
🤣🤣🤣🤣🤣
Kupokezana Mkuu....

💚💛💚💛💚
 
Wamenyweaaaaaa kila mmoja anapita njia yake saii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yangaaaa
[emoji123][emoji169][emoji169][emoji169]!
Mbona tupo,tunawatizama mnavyorukaruka[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…