PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
SIMBA semeni ukweli kati ya Ahly na YANGA nani zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya Mgeni rasmiRambirambi tunatuma kwa account ipi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio mwezi tu. Labda January tusajili wachezaji muhimu wa maana tuwakande za kutosha ndo kutatulia. Sasa hiv ukiongea kidogo unaambiwa 5G.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh, kweli we mbishiSijui wenzetu Al Ahly huko wakipata hizi taarifa watatuonaje?
Tumefanya mzaha mzaha mpaka mwisho wa siku tumejikuta tumeng'atwa na samaki aliye rostiwa.
🤣🤣🤣🤣🤣Tunaumiaaaaa
Km Mimi nimeumia saaaana
Nimelia uvunguni leo sauti isisikike nje
Kweli Simba msimu huu wa kutulaza na viatu sisi?
Tumeloa uwanjani
Tumepigwa goli 5 kibabe na wanaume wa Yanga
😭😭😭😭
Si tulikubaliana huu ni ukuta wa Yericko?Huwezi mchezeshsa che Malone na henock kwa pamoja.
Mmoja kati ya hao achezeshwe na Kennedy juma.
Katafute...Mwaka gani huo?
Acha uongo.
Pole ya nini??Pole sana mtani
Endelea nakusikiliza 😁
Tunaumiaaaaa
Km Mimi nimeumia saaaana
Nimelia uvunguni leo sauti isisikike nje
Kweli Simba msimu huu wa kutulaza na viatu sisi?
Tumeloa uwanjani
Tumepigwa goli 5 kibabe na wanaume wa Yanga
Hamna yeriko hapo ni ujinga mtupu. Yeriko Gani Kila match inavujisha toka msimu uanze.Si tulikubaliana huu ni ukuta wa Yericko?
Mbona tupo,tunawatizama mnavyorukaruka[emoji23]Wamenyweaaaaaa kila mmoja anapita njia yake saii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yangaaaa
[emoji123][emoji169][emoji169][emoji169]!
Hahhahaaa.....
Roho zimewauma sana leoLeo makolo watalala usingizi wa mang'amung'amu sana.
View attachment 2805044
View attachment 2805046
View attachment 2805047
View attachment 2805051
Uzuri wa YANGA wengi ni vichwa. Hawana kama za mikia. Hivi mngeshinda goli 5 mikia kwa sasa barabara zote zingekuwa zimefugwa. YANGA hatuna kelele kama zenu.