FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Ila Manula ana kiherehere chakumfata Azizi key!!, Mtu ana miezi Kama 5 hajacheza na anajua anaenda kukutana na mwwmba key kwann hakukata? Ila nasikia ni maagizo kutoka kwa viongozi. Asanteni viongozi kumleta key BBY wake!.
 
Shame to BOARD,, ROBERTINO weakness zilionekana miezi mingi sana..

-fianali ya ngao ya hisani TANGA, mwanzo mwisho very poor to simba
- Kufuzu champions LEAGUE kwa manusura
-Ufunguzi wa African league tumechezewa ma AL AHLY kinyonge mbele ya viongozi wakubwa, saidia tu papatu za magoli ya headers

  • simba haichezi soka inayoeleweka
  • timu wachezaji haina nguvu
  • line up za mechi simba , huelewi ROBERTINO. Vipi MANULA asiye na match fitness aanze

-simba inafungwa 5, sio wala kubahatisha uwezo;wa YANGA umeeonekana. Sikumbuki clear chances za simba ukiacha goal la KIBU na shuti la BALEKE
- subirini, championship league, hata robo sijui.

Shame to BOARD OF SIMBA
 
Yanga inatumia bahasha,
Yanga inakutana na timu mbovu ndio maana inashinda 5, ohooo Singida ni tawi la yanga... Hay nyie SIMBA A.K.TATU MALOGO FC ni tawi la GSM au mzee mpili? Nyie ni wabovu au bado Kuna kipimo kingine mnacho tukisubiri?.
 
Yellow card na penalt kipi zaidi b...? C'mon
Kitu pekee ambacho Yanga na Mwamuzi walikifanya kwa ubora leo ni kuhakikisha Kibu anatoka mapema uwanjani. Jitihada zilikuwa nyingi kwa msaada wa mwamuzi.

B... hizi sherehe zenu uzimalize hapa, ukizileta kule nitakupiga. Mimi nina hasira ya kufungwa, tena hasira kweli. Nimesema mapema hapa mbele ya Utopolo wenzio.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…