FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Kila la kheir Simba... Eneo la ulinzi lipunguze presha na masihara, Bado uzuiaji wetu ni mtihani, timu kubwa haipaswi kuruhusu magoli kila mechi.
 
Ukikaba kwa kuzia nafasi maana yake haumfati kumkaba mtu moja kwa moja anapokuwa na mpira badala yake munaondoa mianya ya muendelezo wa pasi za mashambuli na mnanyang'anya mpira pale ambapo adui amesogea zaidi na hana machaguo mengi ya kupeleka mpira.

Kwahiyi ni lazima adui aonekane kukaa na mpira kwa muda mrefu( umiliki mkubwa) ambao kimsingi unakuwa ni umiliki usio ma faida.
hii inaitwa kujifariji
umiliki usio na faida wakati golini kwako watu wanatembea kama sebuleni unabaki okoa hatari tu

unaangalia soka kwa pressure muda wote wananchi wako sebuleni
 
Back
Top Bottom