FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Kitu ambacho Simba Sc imekuwa vizuri sikuhizi ni kutumia mipira iliyokufa, nina uhakika kama Yanga ataruhusu kona na faulo nyingi eneo hatarishi katika kipindi cha pili lazima tushudie goli.
Yanga rahisi kufungwa mipira iliyokufa ila wao kuitumia mipira hiyo kupata matokeo huwa hawawezi.
 
Yani unaona kabisa Jitu linakuj kutua juu ya mwili then urelax tuu ..ile ilikua ni lazima afanye alichofanya na ndio mana faul ikapigwa kuelekea kwenu
kwamba mtu akitaka kutua unashika mguu ama unasukuma asikutulie juu ya mwili

yeye kashika wakat mchezaji wa yanga anataka kumruka ko utetezi wako hauna maana
 
Mpira wa bongo marefa ndio wanaharibu.
Yani utadhani hawalipwe vile.
Kabisa mzee, ya pacome ilikuwa counter. Sidhani kama ni bahati mbaya sababu mbona hayo makosa hawayafanyi kuionea simba? Mara nyingi kama sio zote simba sc huwa mnufaika wa makosa ya waamuzi.
 
Tafuta hela uanzishe team yako utafute na kocha mzuri wewe mwenyewe.

Robetinho kaletwa na wenye hela za na ndio hao wanaweza kumtoa ama lah [emoji16]
Punguza ukilaza wako, sio kila mwenye hela anamiliki timu ya mpira. Elon Musk, Bill Gates wana timu??

Wewe ni pimbi kama pimbi wengine.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom