FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Just a very bad day in the office, kama kipigo kweli tumetandikwa, tena tumetandikwa haswaa, hakika kupata usingizi usiku wa leo ni ngumu, ikibidi tutafute vidonge vya usingizi angalau vitusaidie kupitisha haya masaa ilimradi pakuche, na hata kesho pakikucha sijui tutakimbilia wapi...

Kazini itakuwa moto...

Mtaani patakuwa moto...

Kwenye daladala itakuwa moto...

Kujifungia ndani nako patakuwa pamoto labda usiwashe radio, wala kusikiliza TV, inshort ikibidi na masikio tuzibe tusisikie kelele za nje, vinginevyo hali ni mbaya...

Na hili baridi la leo Dsm, kweli mtihani tumepewa, tukiuvuka huu tutaamka wanaume zaidi ya jana...

All in all, potelea mbali, Simba SC Nguvu Moja...

Wacha upepo wa kisuli suli upite ..
 
yanga kaendeleza taratibu yake ya kununua waamuzi na kutoa bahasha kwenye timu pinzani leo tena yale yale
Sio kweli simba ni wabovu ile penati ya inonga ni clear penati kabisa manula kaanza mechi wakati bado hajawa fit kabisa Ngoma namba sita hawezi kabisa labda awekewe mtu wa kumkabia kapombe biashara yake imeisha mohamed hussein anachezea uzoefu tu ila naye kachoka inonga hajiamini kabisa chamelon mzito kweli robertionho kafanya timu imekua desorganizer kabisa
 
Screenshot_20231101-083703.jpg
 
ko unataka nambia zile tuhuma za yanga kununua mechi si kweli, yanga kutoa bahasha nazo ni za kupuuzwa
 
Back
Top Bottom