Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
[emoji830]οΈ[emoji830]οΈ[emoji830]οΈ[emoji3]|πππππππππ πππππππ
[emoji860]"Haya majigambo walifanya Simba Sc. wakasahau kumshukuru Mungu wangu aliyewapa Neema ya kuongoza ligi na kufanya vizuri, kitendo ambacho kilipelekea kuwatondolea ile furaha yao."
[emoji860]"Kosa lile la Simba Sc. na Yanga Sc. ameanza kulifanya tena. Yanga nimewapa ushindi wa kuifunga Simba Sc. goli 5 lakini hakuna kiongozi yeyote wa Yanga Sc. aliona thamani yangu na kuchukua hatua ya kumshukuru Mungu kupitia Mimi Nabii wake. Badala yake nguvu zao zote wamezielekeza kwenye majigambo."
[emoji860]"Nawaza pigo la kuwapa litakaloodoa furaha na majigambo yao yote kwenye ligi hii. Ni Kweli Baada Ya Yanga Kushinda Nilipokea Zawadi Kutoka Kwa Mashabiki. Ila Viongozi Wa Yanga Hawajafanya Kitu Mpaka Sasa Hivi."