FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

GAMONDI is a professional coach, ameenda uwanjani kuangalia Makolokwinyo wakicheza unategemea Nini?

Leo ni kichapo tu Cha mbwa Koko! Yanga 3 - Kolowizard Mbumbumbu Simba fc 0! Hiyo imeeeeeeeenda!

Hatutaki lawama za refa Simba itakufa kiume Tena Leo kama kawa, mkandaji mkubwa wa kwanza ni Feitoto Kwa bao lake la uchungu kule CCM Kirumba lililowalaza Simba na viatu huyo Kibu alibahatisha tu Yanga ikiwa haiko mchezoni na Leo atakutana na Ibra Bacca ambae mechi Ile hakucheza tutaona jinsi Kibu D atarukaruka tu uwanjani kama maharage!

Yanga ni baba wa boli Tz Kwa Sasa namuona Max Nzengeli akifungua booster zaidi leo, makolo watamkoma!

Aziz Ki ana goli mbili za faulo! Leo kama sio Yanga 5 - Simba 0 sijui labda refa akatae magoli kama kule Mkwakwani na Leo hatukubali ujinga wa marefa kuibeba Simba!
 
Ulijuaje?
 
Tupo live πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ–€πŸ–€πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•Ί

Nabadooooooo πŸ•Ί

Cc Smart911
 
Ulijuaje?
Kaka Mimi nimeanza kuingia uwanjani mechi kubwa nikiwa na miaka 5 tu, huwa naangalia performance na morali ya timu versus wapinzani wao. Na daima nanyoosha maelezo, nasema ukweli tupu, wenye akili ni Yanga huwa wanazingatia maneno yangu!

Mechi hii ya Derby ya Simba 1-5 Yanga niliichungulia kwenye bakuli la maji nikaona goli 5 tu za Yanga nikaweka wazi kabla ya mechi kuchezwa ila si kila mtu alisoma na kuamini.

Mechi ya Derby tarehe 19 October naiona droo japo Yanga ina nafasi zaidi ya kushinda, naziona goli 2 au 3 za Yanga.

Derby itakuwa mechi ngumu na iwapo Yanga itafunguka sana inaweza kufungwa. Yanga inapaswa kucheza kwa kuiheshimu Simba japo ni timu dhaifu.

Yanga inapaswa kuwa na nidhamu ya kukaba Simba kuanzia juu kwa dkk tisini na kuhakikisha simba hawachezi kitimu.

Yanga ihakikishe Debora na Kibu hawachezi!!
 
Back
Top Bottom