FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Nakumbuka maneno ya babu yangu jana
"Mjukuu wangu usije ukipoteza asili yako, babu yangu mzee Mohsen alizaliwa Misri akahamia Ujiji mwaka ya 1889" sijui alikuwa na maana gani ila nachojua aliwahi kuichezea Al Masry Egypt
🙊🙊🙊🙊
 
Simba tulikosea sana kuruhusu goli 2-0
Muarabu dk 20 za mwanzo zakila kipindi,dk 10 za mwisho za kila kipindi and unapokua umemfunga au kimkosa goli maana yake unapozubaa yeye ndio anakufunga hapo hapo,magoli yote 2 yalifungwa kipindi hicho.
Pili ubinafsi wa wachezaji nakutocheza kitimu lilikua shida kubwa sn.
Simba kishinda sishida ttz nikuvuka.Time will tell.
 
Kuna red card 1 kwa waarabu baada yakupanic, penalties 2 na magoli 4 kwa simba leo, Ateba, ahoua na kibu wanaingia kambani leo!
 
Back
Top Bottom