FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Ningekuwa boss wa Al masry benchi lote la ufundi barua za kuwafukuza zingewakuta airport. Nani aliwaambia wangeshinda penalty Kwa kupoteza muda makusudi
 
Bahat Gani wewe kinabo,, umeonewa huruma ilitakiwa kupigwa ban ya miaka mitatu nyoko wewe. Acheni na ufukara wenu kuizarau Simba , watu wazito wameweka pesa zao pale nyingi.
Tayari nimerudi navimba
 
Back
Top Bottom