FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Duuh hii semi tunaanzia Home, inatakiwa tumalize hapa hapa, kulee Bondeni tukakamilishe ratiba tyuuh. Lol
 
Wanyooshe, wanyooke
Nimenyoosha watu leo, na Ban zimepigwa.
Huku mtaani ndo watu wananikimbia, cm zangu hawapokei, na text hawajibu.
Sijui kesho huko site watu wataniambia nn.
Nawaonea huruma hatarii, 😂😂😂😂😂
 
mkuu kama wangeendelea na moto ule ule baada ya kurudisha goli 2 yangeenda kutokea yaleyale ya siku ile Misri walichofanya ndio kitu sahihi huyu Fadlu ni masterclass
Sina haja ya kubishana, muhimu tumefuzu.
Yule alikuja kuzuia, kitendo cha kumpiga chuma 2 ndani ya dk 30,lazima wavurugike sasa unapozidi kumpelekea moto anapagawa zaidi.
Sidhani kama mwalimu ndio aliwaambia watulie wasishambulie ten, hakuna sehemu nimeona hilo.
 
Hahahaaa. Lol.

Mdogo wangu naomba nikae kimya.
Unaumia kutokea pande zipi za Nchi Dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
................................................
SISI nusu fainali kimataifa

WAO nusu fainali FA CRDB Cup
 
SIMBA AKIFUZU MNIPIGE MAWE MPAKA NIFE
Uko wapi bwashee tuje kukubonda

1744224102737.jpeg
 
Hatimaye my Darling hongera ❤️
View attachment 3298000
Mmhh kwa mara ya kwanza umetupongeza hivi tunashukuru sana mtani, by the way hiyo video naitafuta sijui naipata wapi hadi sasa sijaona imepostiwa popote, wakati wanaiweka machozi yalinilenga al manusura nilie na kupiga magoti kwa furaha sema tu nilikuwa mbele za watu nikajizuia
 
Back
Top Bottom