FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Santo sana kwa mwongozo!

Kuna Mamelodi nao wakali ujue kale kajapan sijui ni kachina ka Piere Shilulile sijui naninani kamotro balaa!
Au washatolewa??
Hahaha naninani kamotro

kwenye CAF Champions league, Mamelodi yupo ubuntu hatoki kizembe
kapita Mamelodi, Al ahly, Pyramids na leo tunasubiri kati ya MC Alger na Orlando.
 
Kiko wapi? Walivyopata goli la pili walirelax mnoo, wamekuja kuamka jioni kabisa.. Mambo ya ******* haya..
Mentality mbovu kabisa hii.
mkuu kama wangeendelea na moto ule ule baada ya kurudisha goli 2 yangeenda kutokea yaleyale ya siku ile Misri walichofanya ndio kitu sahihi huyu Fadlu ni masterclass
 
Hahaha naninani kamotro

kwenye CAF Champions league, Mamelodi yupo ubuntu hatoki kizembe
kapita Mamelodi, Al ahly, Pyramids na leo tunasubiri kati ya MC Alger na Orlando.
Kuna kajapan Fulani kafupi kidogo kako Mamelodi kana jina linaloelekeana na shilole sijui ni Shilulile 😊😊 kanabutuaga boli balaaa

USM Alger na Orlando wanacheza lini???
 
Halafu waarabu wa Saudia hawajiangushi ovyo kama hawa wa Afrika Kaskazini.
 
Mkuu we acha tu, hii game imenipa ugumu mno kuiangalia

Nimeiangalia kwa vituo sana kutokana na situation niliyokutana nayo sikuweza kuiangalia kwa uhuru.

Cha msingi tumevuka.

Imebaki kufika fainali tu ndio mnayotudai.
Si tulikubaliana Fainali tulishafika? Hamna wanachotudai vyura.
 
Kuna kajapan Fulani kafupi kidogo kako Mamelodi kana jina linaloelekeana na shilole sijui ni Shilulile kanabutuaga boli balaaa

USM Alger na Orlando wanacheza lini???
Orlando vs MC Alger 0-0 HT (Aggre. 1-0)

USM Alger - Constantine 22:00 (Aggre. 1-1)
 
Na Mimi ndio nimejenga hoja kwamba malumo kama alikuwa mbovu kwenye ligi lakini aliwekeza nguvu kwenye shirikisho ndio maana alifika nusu fainali kwa ubora aliokuwa nao uko,,alishuka daraja kutokana na kuwekeza kwenye shirikisho zaidi kama kaizer chief ilivyofanya mwaka juzi,,usidhani Kila timu inaweza kufika kirahisi rahisi na kama ni rahisi wapeleke Tanzania prison na kengold wanaotaka kushuka daraja na wao wakafike nusu fainali kama malumo alivyofanya ukiwa na D 2 utanielewa nachokizungumzia!
Kwani hao Prison na Kengold ni rahisi kufika quarter final ya haya mashindano kama alivyofika Al Masry? Kama sio , kipi kinachokufanya uibeze Simba Kwa kuitoa Al masry na kuiona timu yako ya maana na kujivunia medali ya kufika final baada ya kuzitoa Rivers utd na Malumo iliyoshuka daraja? Hao Rivers utd na Marumo wameizidi nini Al masry?
 
Mkuu we acha tu, hii game imenipa ugumu mno kuiangalia

Nimeiangalia kwa vituo sana kutokana na situation niliyokutana nayo sikuweza kuiangalia kwa uhuru.

Cha msingi tumevuka.

Imebaki kufika fainali tu ndio mnayotudai.
Duh!...we jamaa ni muoga kiasi hiki?... kazi kweli kweli...
 
Back
Top Bottom