Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
😅😅😅aliahidi kitumbua kwa wanasimba 3.Mod wameshafanya yo tayari.
Huyo kijana waliomvutia kwenye pagale yeye aliahidi nini?
Mbingu na ardhi mkuu. Al Masry hamna timu paleUchezaji wao ni kama MC ALGERS tu
😂😂😂😂😂 natamani kushikilia miguu, pindi akikunjwa 7. LolNdio, tena alikuja kijiweni kwa wana simba wenyewe😃😃😃
😂😂😂😂😂😅😅😅aliahidi kitumbua kwa wanasimba 3.
Tena alienda kutoa ahadi mbele ya ofisi za tawi la simba.
Wakampa bia ili atoe ahadi yake vizuri
Waarabu wamewaponzaDont underestimate the power of Chumvi ya mawe weeeeh!😁
Washamaliza.😂😂😂😂😂 natamani kushikilia miguu, pindi akikunjwa 7. Lol
mechi zote ni marudiano, hiyo ya Orlando ni Champions league ambayo aggregate alimpiga MC Alger kwao 1-0.Ngaja tuone. Naona hapa kuna pirates na USM Alger ni marudiano au ile ya mwanzo????
Zamani nilikuwa nikishtuka sana nikimuona mtu anamwita mwingine "wewe mbwa nini?"Safi kabisa, hakuna kijidudu chochote nchi hii kinachoweza kutishia kuitikisa hii nchi, hakuna. Hako kabaraka ni kama unyoya wa kifaranga tu nchi hii.......mwepesiiiiii, wanamchora tu.
Unafikiri vipi ndugu? Prisona na Kengold wakujaje? Nimekukumbusha kuwa timu mliyoitoa ilishuka daraja Kwenye ligi yao na sio kuwa ilitaka kushuka. Sasa unapoibeza Simba Kwa kuitoa Al masry iliyo nafasi ya nne ligi yao unaonekana kituko , halafu unajivunia medali ya kufika fainali baada ya kuitoa timu iliyoshuka daraja.
Unafikiri vipi ndugu? Prisona na Kengold wakujaje? Nimekukumbusha kuwa timu mliyoitoa ilishuka daraja Kwenye ligi yao na sio kuwa ilitaka kushuka. Sasa unapoibeza Simba Kwa kuitoa Al masry iliyo nafasi ya nne ligi yao unaonekana kituko , halafu unajivunia medali ya kufika fainali baada ya kuitoa timu iliyoshuka daraja.
Na Mimi ndio nimejenga hoja kwamba malumo kama alikuwa mbovu kwenye ligi lakini aliwekeza nguvu kwenye shirikisho ndio maana alifika nusu fainali kwa ubora aliokuwa nao uko,,alishuka daraja kutokana na kuwekeza kwenye shirikisho zaidi kama kaizer chief ilivyofanya mwaka juzi,,usidhani Kila timu inaweza kufika kirahisi rahisi na kama ni rahisi wapeleke Tanzania prison na kengold wanaotaka kushuka daraja na wao wakafike nusu fainali kama malumo alivyofanya ukiwa na D 2 utanielewa nachokizungumzia!Unafikiri vipi ndugu? Prisona na Kengold wakujaje? Nimekukumbusha kuwa timu mliyoitoa ilishuka daraja Kwenye ligi yao na sio kuwa ilitaka kushuka. Sasa unapoibeza Simba Kwa kuitoa Al masry iliyo nafasi ya nne ligi yao unaonekana kituko , halafu unajivunia medali ya kufika fainali baada ya kuitoa timu iliyoshuka daraja.
Nikitulia na nyie mtulie sio mnatupigia makelele utadhani mmebeba kombeWee si utulie hata kdg, mbna una haha sana? Shughuri haikuhusu, unavaa dela la sare, vipi hujambo nn?
Nayo ni matokeo!!😏😊Waarabu wamewaponza
Mwamposa kafukuza mapepo ya utopolo..Mshaanza:
1. Mwamposa
2. Masheik
3. Ushirikina.
4. Fukuza Manager...
5.
6
97651
97652. Mazoezi.
Santo sana kwa mwongozo!mechi zote ni marudiano, hiyo ya Orlando ni Champions league ambayo aggregate alimpiga MC Alger kwao 1-0.
Ambayo na matumaini itapita ni USM Alger ambayo ilidraw 1-1 mechi ya kwanza.
Mkuu we acha tu, hii game imenipa ugumu mno kuiangaliaBill
mtzedi
Mtoto halali na hela
Scars
Greatest Of All Time
Leo wote mko busy na kazi eti. 🤣🤣
Tunajua mnapumulia mashine huko mliko lakini njoeni muandike chochote basi. 😂😂
Mwamposa kafukuza mapepo ya utopolo..
Mashekhe wamefukuza majini...
Mtajua hamjui
Kwenye mpira sijui linafaa lile jina la wanasiasaNayo ni matokeo!!😏😊
Boli lina kufunga kufunga au duroooo 😊! Yeah duroo!!
Wacha nijiandae kutafuta timu ya kushangilia semi final miee😁