Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Wewe tulia hapohapo unaanza kulialia nini tulia hapohapo milio ya nini sasa?Simba hatuna uwezo wa kupita kwenye Penalties kick, ni bora wachezaji washinde humu humu ndanii.
Nakerekwa hasa, huu si upuuzi, wachezaji washa jichokea, aaah