FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

😹😹😹 Wewe leo huchomoki na ban subiri..!!
Ulisema simba hawawezi kufunga.
Ndio hawawezi labda mngewaagizia waganga kutoka kule Makete wangeshinda ila hao wa bagamoyo hapo ndipo walipoishia
 
Simba hatuna uwezo wa kupita kwenye Penalties kick, ni bora wachezaji washinde humu humu ndanii.

Nakerekwa hasa, huu si upuuzi, wachezaji washa jichokea, aaah
Hii mechi haiendi matuta, ngoma inaishia dakika 90 tu ila sijui ni timu ipi itapata goli
 
IKIISHA HIVI HIVI ZA NYONGEZA AU PENALTY, NAONA WAARABU WANAVUTA MDA SANA
 
Huyu kocha very poor in technical sub hapa hamna kocha watani zangu simba
 
Back
Top Bottom