comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Hawa jamaa kwenye matuta inaonekana wanajiamin Sana kama wanapoteza mda
😹😹😹😹 makete was necessary khaaa.!! 🤣Ndio hawawezi labda mngewaagizia waganga kutoka kule Makete wangeshinda ila hao wa bagamoyo hapo ndipo walipoishia
Weee Hapigwi mtuuuuu💚💚💚🕺🕺🕺Wanaongeza dk 30
Hapa mwarabu laZima apigike tu
Uwa inahitajika kuwa jasiri wa roho nafsi na mwili kuangalia matutaKwa kweli, kufurushwa kwenye penalties kunaumiza mnoo.
Huwa sitaki kabisaa, Lol
Bora Simba apate la 3, watu tuwahi makwetu. LolHii mechi haiendi matuta, ngoma inaishia dakika 90 tu ila sijui ni timu ipi itapata goli
Subiria gemu iishe muanze kulia vizuri ila Mwisho kwa Nkapa hamuendi popoteHuyu kocha very poor in technical sub hapa hamna kocha watani zangu simba
Mi nataka mshinde na mfuzu leo, kwani mganga hamkumpa pesa yake yote..!! 😹😹😂😂😂😂😂
Tunaweza kushinda, ila tusifuzu.
Hii game ni kufuzu uduguu, haihitaji ushindi tupu.
Lol
[emoji3][emoji3][emoji3]Jamani goli la tatu nyiee mbwa mie laki yangu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Warabu wameshatoka haoWeee Hapigwi mtuuuuu💚💚💚🕺🕺🕺
Kitulize kwa kutulia ushindi uhakikaKama hivo Igweeeeeeee💚💚💚🕺🕺🕺🕺🕺😁😁
Mazombie kivipiWaarabu bhana wanachokifanya apa uwanjani kama mazombie vile 😂
MatutaIKIISHA HIVI HIVI ZA NYONGEZA AU PENALTY, NAONA WAARABU WANAVUTA MDA SANA
kwenye tuta simba hatoboiHawa jamaa kwenye matuta inaonekana wanajiamin Sana kama wanapoteza mda
Wanaongeza dk 30Wajinga wamejiandaa na penalty maana kama wanajiamini,wanapoteza mda tu.