KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
zipo hizo 30Bado dakika 30 hawawezi Kulala muda wote huo
zipo hizo 30Bado dakika 30 hawawezi Kulala muda wote huo
Na wewe pia upo nataka niwakuleeeEm sema kwelii?!
Mpira uisheee mimi nifanye sherehe Simba kaishia kwa NkapaYaniiii dahh!!
😹😹😹 Na magoli mnapewa nusu kawaonyesha km yeye kazi anaiweza tatizo mkono wenu mfupi..!!Alipewa Nusu, 😂😂😂😂
Hatutaki kutapeliwa. Lol
Za nje wa uwanjazipo hizo 30
Bado haujasemaWaarab was#nge wanajua kuigiza.
😂😂😂😂😂😹😹😹 Na magoli mnapewa nusu kawaonyesha km yeye kazi anaiweza tatizo mkono wenu mfupi..!!
Ban ya miaka 3Ahadi yangu ipo pale pale wakumbushe na wengine
Sijafuta kauli yangu mpira unaenda kuisha refa wape Simba dakika 30 zingine hawafungi ng'oooo mganga kamaliza magoliMxieeeeww 😹😹😹
Ndio nimesema dakika 90' na zimeisha kwa hio sina ban pyeeeeBan ya miaka 3
Wee badili avatar tunshindwa konsentreti kwa point zako twaangalia tako hiloSimba wanajua matuta hawatoboi hahahaha!
Matuta hayana mwenyewe