EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 4,043
- 7,296
🤣🤣🤣 kwakweliAhadi yangu Simba akifunga goli 3-0 nipigwe ban miaka 3 mfululizo mpaka sasa ubao unasoma 2-0 na gemu inaenda kuisha hajapata kitu na anaenda kutolewa leo
🤣🤣🤣 kwakweliAhadi yangu Simba akifunga goli 3-0 nipigwe ban miaka 3 mfululizo mpaka sasa ubao unasoma 2-0 na gemu inaenda kuisha hajapata kitu na anaenda kutolewa leo
Na matuta ndio hio tunaita mwisho kwa NkapaHaina dakika 30 hii mkitoka hivi mnaenda matuta
Kivip?Waarabu wanaharibu sana mpira wa afrika 🚮
😹😹😹 mganga tapeliSijafuta kauli yangu mpira unaenda kuisha refa wape Simba dakika 30 zingine hawafungi ng'oooo mganga kamaliza magoli
Leta utamuThubutuuu.
Yaan hapa nna tetemeka km kuku mwenye kideli.Kazi mnayo leo wana thiiiimbaa 😹
Ngoja tuone kamkeka katatikiKwa Quick analysis naweza kusema hii game:
Simba 2-0 Al Masry
Game inaenda penalties
ShindwaaaaLeta utamu
Pyeeee mwenyewe 😹😹Ndio nimesema dakika 90' na zimeisha kwa hio sina ban pyeeee
Msilete nyege hapa tunamkanda mwarabu eboUnachambua layer zote saba 😹😹
Kuna wapuuzi huku kwenye banda umiza nawasikia wanapiga kelele balaa vipi la 3 au?FADLU...ziro ktk sub
Huna unalojuaHaina dakika 30 hii mkitoka hivi mnaenda matuta
Ni refa au kocha mjukuu? 😂😂😂Ila Refa anaboa sana, huyu kibu sio wa kucheza dkk zaidi ya 60, haambiliki na habadiliki
Linaboa hatarii.
Bado mudaKuna wapuuzi huku kwenye banda umiza nawasikia wanapiga kelele balaa vipi la 3 au?
Huu usenge wanaoufanya huoni wanapoteza muda kitotoKivip?
Baba Esta unamtaja kinyege nyege?Baba Estaa, unafanyaa nini sasa? Ni gundu au laana?
Naumia mie, khaaaah
ase ni hatari mi nimeacha kuangalia nimekuja jf soma komentiYaan hapa nna tetemeka km kuku mwenye kideli.
😂😂😂😂😂