Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Mpira umeisha huooooo hapo nilisema nyinyi hamna kituEm tuliaa weyeee.
Mpira umeisha huooooo hapo nilisema nyinyi hamna kituEm tuliaa weyeee.
Layer ni 4 tuu hizo tatu itakuwa maraprap ya mbususu yako kutembea mileage kubwaWe hujui kwenye uke kuna layer 7? Kumbe huna PhD ya mbususu nyokooo weee..!! 😹😹
Jifunza kukaa kimya ili uonekane una akili wakati mwingineHuna unalojua
Acha roho ya uzinzi sisi tunaongelea magoli y’a 5imba hapa 😹Msilete nyege hapa tunamkanda mwarabu ebo
Wee si utulie, mbna una haha sana?! KhaaahMpira umeisha huooooo hapo nilisema nyinyi hamna kitu
Na timu zao zote ndo ziko hivyo zikiona zimezodiwa zinaleta ujinga.Aahaaa
Dah
Kwisha habari yenuTUMEKWISHA DAH PENATI JAU ,YAANI KIPINDI CHA PILI TULIKUA WABOVU SANA
Waswnge wamesepa na laki yangu hawa waarabu wameshindwa kweli kupata golifiiiuuuuuu
Kafanyaje? Au TV yako inaonyesha mechi tofautiHuyu refa kalipwa sh ngapi jamani? Mbona hii sasa ni too much?
sio wabovu ila waarabu walibadili mfumo wakafunguka.. na huo mfumo wangeanza nao ilikua now wanaendaTUMEKWISHA DAH PENATI JAU ,YAANI KIPINDI CHA PILI TULIKUA WABOVU SANA
Dakika 90' zimekata si ukisema tuone si tumeona nionyesheee 3-0 zipo wapi?Wee si utulie, mbna una haha sana?! Khaaah
Namimi ñaona kama wanapoteza Sana MDA wafikie matutakwenye tuta simba hatoboi
CUF waje kukujibuKwanini mashindano hayana dakika za nyongeza?
Bora wewe umeona.TUMEKWISHA DAH PENATI JAU ,YAANI KIPINDI CHA PILI TULIKUA WABOVU SANA