FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Nikikumbuka ya Orlando kwenye CAFCC, na ile ya Wydad kwenye CAFCL.
basi sina imani tena kuvuka hapa, hatuna bahati kabisa na Penalties kicks.
😢😢😢😢
 
Hongereni Makolo kwa kutinga nusu fainali
 
Mungu tujaalie waarabu, kwanza bila sisi hata wasingekujua, wangeendelea kuabudia mibuyu na makaburi ya bubu zao.
 
Back
Top Bottom