Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 1,256
- 1,815
Hii lineup inatuvusha..!
Nimefurah ateba katupisha.
Nimefurah ateba katupisha.
Kam kauwaaa Kam dauwaaaaa💚💚💚💚💚🕺💪🙇🙇🙇Haya jamani, sisi ndio walewale mwakarobo… Tuko hapa.
Vittttiiiii vya mottttooooo. 🤣🤣🤣Wanasimba pureshaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💚💚💚💚💚💚🕺🕺🕺💪💪💪
Mtag Smart tuone 😀Wajikute tu
Leo Simba ooouuttttttttt
Nyumbani ila ndo Hapakalikiiiii😁😁😁😁😁Vittttiiiii vya mottttooooo. 🤣🤣🤣
Mvua zimenyesha acha makasiriko boss. Hautelezi kwa MSR tu, hata SimbaWameroga uwanja unatereza
Mvuke kwenda wapi?insha'Allah tutavuka salama wawakilishi wa Tanzania.
Aniwache kwanza Saii Nimetingwa na kumshangilia mwarabu kuja kutag naona nachelewa😁😁😁😁😁Mtag Smart tuone 😀
Utalia
Umeambiwa kwao hamna tope?Wanalia sasa hivi.
Sio kwa tope hili
Sawa..Ila naamini Simba leo anavuka. I trust my feelings