Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Bado dakika 30Kumbe wewe ni uto? Baki humu humu.
Bado dakika 30Kumbe wewe ni uto? Baki humu humu.
Bado 30Ngoja dkk 90 zitaamua
Km mlivyo fungwa nyie.Mnafungwa
Unapatikana wapi??nimeshaandaa mawe ya kutoshaSIMBA AKIFUZU MNIPIGE MAWE MPAKA NIFE
Tumekusikia, Pale mbele yupo Kibu, Mpanzu, Mukwala. Namba 10 ahouaJapo nimekata tamaa lakini simba akiwa Lupaso anakujaga na surprises zinazotufurahisha mashabiki... Dunia nzima tunzeni hii risiti msije mkasema sijawaambia...
Hahahaaa. Na tutawacheka sana pona pona ya wajitutumue kujaribu kushinda. 😂😂Nimejiandaa kucheka leo yaan naona km muda hauendi
Nikweli KabisaMliopo Uwanjani ya kweli haya?View attachment 3297899