Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Mnaenda kupakatwa na WaarabuSo what?
Mnaenda kupakatwa na WaarabuSo what?
MnapigwaUtopwix
Utopwinyo
Km mlivyo pakatwa nyie. 😂😂😂😂Mnaenda kupakatwa na Waarabu
fainali ileeeeeeLolote baya limkute kolo.
MnafungwaUto msikimbie uzi
Mtani mkifungwa tunapost zile picha za simba waliobaki mifupa. 🤣🤣Kila laheri Mnyama...
View attachment 3297812
Ya kombe la CRDB au?fainali ileeeeee
Nimejiandaa kucheka leo yaan naona km muda hauendiMtani mkifungwa tunapost zile picha za simba waliobaki mifupa. 🤣🤣
Sio kweli Kuna mvua mvua za hapa na pale nipo sio mbali Sana na lupaso arena 🏟️Nishavaa jersey yangu ya Mwananchi, niwahi Taifa nikamshangilie mwarabu. Sema leo Dar jua linawaka sana.
MnafungwaKm mlivyo pakatwa nyie. 😂😂😂😂
Acheni mambo zenu taifa la wewe na watoto wako?Ila taifa linaenda kuheshimishwa
ya ushirikaYa kombe la CRDB au?
Wa kilimo au sio?ya ushirika
Mkuu unapatikana wapi niandae mawe ili jioni nije niku restishe?😂😂SIMBA AKIFUZU MNIPIGE MAWE MPAKA NIFE
Mbona jazba mzee wangu..unafoka mpaka..unarushia watu mate kwenye comment 🤣 😂 🤣Acheni mambo zenu taifa la wewe na watoto wako?
MnafungwaMbona jazba mzee wangu..unafoka mpaka..unarushia watu mate kwenye comment 🤣 😂 🤣
Kila lakheli kwetu 🦁 hapo baadae kidogo.
Ngoja dkk 90 zitaamuaMnafungwa
Kumbe wewe ni uto? Baki humu humu.Mnafungwa